Leviticus 26:7-9

7 aMtawafukuza adui zenu, nanyi mtawaua kwa upanga mbele yenu. 8 bWatu wenu watano watafukuza adui mia, watu wenu mia watafukuza adui elfu kumi, nao adui zenu wataanguka kwa upanga mbele yenu.

9 c“ ‘Nitawaangalia kwa upendeleo na kuwafanya mzae na kuzidisha idadi yenu, nami nitalishika Agano langu na ninyi.
Copyright information for SwhKC